Kiswahili
  • English
  • Kiswahili
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

HAFLA YA KUKABIDHI VIFAA VYA TEHAMA KWA VITUO 10 VYA WALIMU (TRC) KUPITIA MRADI WA BOOST FEB 19, 2024

Posted on: February 19th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Ahmed Leo hii Feb 19, 2024 akabidhi vifaavya TEHAMA kwa vituo 10 vya walimu (TRC) kupitia Mradi wa Boost ambapo amesema nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuiona siku ya leo na kuweza kufanikisha hafla hii ya kukabidhi kompyuta 50, printa 10 na UPS 30 vituo vya walimu/shule teule 10, hafla ya makabidhiano haya yanawakilisha Halmashauri 9 za Mkoa wa Mtwara zenye jumla ya walimu wa Shule zaMsingi 5,129 na Shule za Sekondari 2,457.

 

Kupitia hotuba yake amesema Napenda kuwapongeza walimukwa matokeo mazuri ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi mwaka 2023. Jumla yawanafunzi 28,107 sawana asilimia 79 wamefauluna kuchaguliwa kujiunga na shule za sekondari mwaka 2024. Kiwango hiki cha ufaulu kimepanda kwa asilimia 3 ukilinganisha na matokeo ya mwaka 2022 ambapo ufaulu ulikuwa asilimia 76.


Pia Kanali Ahmed ametumia fursa hiyo kuwapongeza wazazi/walezi, walimu, Maafisa Elimu Kata, Maafisa Elimu ngazi ya Halmashauri pamoja na viongozi wa Wilaya zote kwa jitihada mnazozifanya katika kuhakikisha kwamba hali ya ufaulu katika Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi inaimarika kila mwaka.

 

Hali kadhalika Mkuu wa Mkoa akasema mapokezi ya vifaa hivi vitasaidia katika kuwawezesha walimu kujifunza mbinu mbalimbali zaufundishaji na ujifunzaji kupitia Mpango Endelevu wa Mafunzo ya Walimu Kazini (MEWAKA), mafunzo yanayofanyika ngazi ya Shule na Klasta.

Vifaa hivi vitawezesha upatikanaji wa nakala laini za vitabu vya kiada na ziada, kuzalisha mitihani na majaribio mbalimbali. Kufanya uchambuzi wa matokeo ya Mitihani na kuhifadhi katika nakala laini.

Katika kuunga mkono jitihada za Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunatakiwa kuhakikisha vifaa hivi vinavyokabidhiwa leo vinatumika kikamilifu nakutunzwa.


Katika Kuhitimisha hutoba yake Kanali Ahmed akasema napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza walimu wote kwa jitihada kubwa mnayoifanya katika kuhakikisha tendo la ufundishaji na ujifunzaji linatekelezwa ipasavyo katika Mkoa wetu.


#TunaifunguaMtwara

#KaziIendelee



Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • CSR YAIGUSA JESHI LA POLISI NA UHAMIAJI MTWARA

    April 04, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WAWASHWA KIBAHA; KUKIMBIZWA MIKOA 31.

    April 02, 2025
  • RAIS SAMIA ATOA MKONO WA EID NA PASAKA MTWARA

    March 31, 2025
  • RC SAWALA AMUAPISHA DC MASASI; AMPA MAELEKEZO

    March 30, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.