Karibu kuwekeza Mkoa wa Mtwara. Mkoa wa una jumla ya Wilaya (5) ambazo ni Mtwara, Tandahimba, Newala, Masasi and Nanyumbu. Pia una jumla ya Halmashauri (9) ambazo ni Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani , Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Halmashauri ya Mji Nanyamba, Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba, Halmashauri ya Mji Newala, Halmashauri ya Wilaya ya Newala, Halmashauri ya Mji Masasi, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi na Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. BOFYA maandishi ya bluu Kupakua na kusoma Mwongozo Mtwara Region Investement Guide.pdf
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.