Posted on: January 31st, 2023
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Ahmed amefanya ziara ya siku moja katika wilaya ya Tandahimba kukagua maendeleo katika sekta ya elimu ili kujiridhisha na takwimu za uandikishaji wa wanafunzi...
Posted on: January 27th, 2023
Mkoa wa Mtwara umesheherekea siku ya kuzaliwa kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kugawa taulo za kike 1500 kwa wanafunzi wa shule za msingi zilizopo katika ...
Posted on: January 7th, 2023
Waziri wa Biashara, Viwanda na uwekezaji Mhe. Dkt Ashatu Kijaji amefanya ziara ya siku moja ndani ya mkoa wa Mtwara siku ya tarehe 07 Januari, akiambatana naibu waziri wa madini Mhe. Dkt Steven ...