Posted on: February 4th, 2019
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara imeendelea kupokea wawekezaji katika sekta ya zao la korosho. Leo Februari 4, 2019 Mhe. Mkuu wa Mkoa amefanya mazungumzo na Bwana Carl Rehnberg kutoka Sweden.
Bwana Reh...
Posted on: January 30th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Gelasius Byakanwa amewataka wadau wa maaendeleo walioahidi kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa katika halmashauri ya wilaya ya Mtwara kukamilisha ahadi zao.
Ha...
Posted on: January 19th, 2019
Zainabu Mnyahi Nanchenda.
Maisha ni kupambana. Maisha ni kukazana. Neno moja la kimakonde linalobeba maana yote hiyo ni Tutumbame. Kwa asili ya wamakonde wanaopatikana mkoa wa Mtwar...