Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe. Ricardo Ambroiso Mtumbaida akiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mhe. Abdallah Mwaipaya ametembelea eneo la Mji Mkongwe-Mikindani na kujifunza mambo mbalimbali ya kihistoria.
Mhe. Mtumbaida yupo mkoani Mtwara kwaajili ya mazungumzo ya kiserikali yatakayohusisha Balozi za nchi ya Tanzania na Msumbiji yatakayofanyika siku ya kesho tarehe 27 Februari 2025.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.