RC Mtwara ametoa msaada wa chakula kwa wasiojiweza
Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Medard Kalemani amesema vijiji vyote vya mkoa wa Mtwara utafikiwa na umeme katika awamu mbili zinazofuata.
Maazimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) zoezi lililofanyika uwanja wa Mashujaa Mjini Mtwara. Shughuli hii ilitanguliwa na maandamano ya kilometa 10, ambapo wananchi waliungana na majeshi yote yaliyoko hapa mkoani katika matembezi hayo, kisha upimaji wa Virusi vya Ukimwi na Uchangaiji damu kwa hiari. Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Halima Dendego ambapo kiongozi wa shughuli hii alikuwa Brigedia Jenerali George Msongole wa Brigedi ya Kusini
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.