Posted on: June 8th, 2024
Leo Juni 8,2024 Serikali ya Mkoa wa Mtwara imekabidhi Mwenge wa Uhuru katika kijiji cha Sauti moja Wilaya ya Tunduru Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya kuendelea na mbio zake mkoani humo.
Akizung...
Posted on: June 6th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Kenan Sawala amelimwagia sifa na Pongezi Jeshi la Polisi nchini kwa kuendelea kuimarisha hali ya usalama ya Mkoa huo na wananchi kuendelea kufanya shughu...
Posted on: June 4th, 2024
Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 Mkoani Mtwara leo 04 Juni 2024 zimeingia katika siku yake ya Sita ambapo hapo jana umebisha hodi katika Halmashauri ya Wilaya ya Newala.
Katika Halmashauri hiy...