Posted on: April 4th, 2017
Mikoa ya Mtwara na Lindi imeendelea na maandalizi ya maonesho ya Nanenane 2017 yanayotarajiwa kufanyika kitaifa viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
Katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyot...
Posted on: March 30th, 2017
Wakati msimu wa kilimo cha korosho 2016/2017 ukielekea mwishoni wananchi wa mkoa wa Mtwara wamepongeza Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kuwa umesaidia kwa kiasi kikubwa kuongeza mavuno ya koro...
Posted on: March 27th, 2017
Viongozi wa Taasisi za Serikali watakiwa kutozuia utoaji wa taarifa.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mheshimiwa Evod Mmanda amewataka viongozi wa Taasisi za Seri...