Posted on: February 27th, 2025
Biashara za mipakani kati ya nchi ya Tanzania na Msumbiji zinaenda kuimarika, hii ni kufuatia mabalozi wa nchi hizi mbili kufanya mazungumzo ya kuimarisha usalama, uchumi na mahusiano wa nchi hizi.
...
Posted on: February 26th, 2025
Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mhe. Ricardo Ambroiso Mtumbaida akiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mhe. Abdallah Mwaipaya ametembelea eneo la Mji Mkongwe-Mikindani na kujifunza mambo mbalimbali...
Posted on: February 24th, 2025
Watumishi na wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Masasi wametakiwa kumpa ushirikiano Mkurugenzi wa sasa, Ndg. Alphaxard M. Etanga kama walivyokuwa wakimpa Mkurugenzi aliyekuwepo kabla, Bi. Beatri...