Posted on: March 30th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Patrick Kenan Sawala leo tarehe 30 Machi 2025 amemuapisha Rachel Stephen Kasanda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi ambae amechukua nafasi ya Bw. Lauteri John Kanoni amb...
Posted on: March 20th, 2025
Jamii imetakiwa kuzingatia usafi wa kinywa ili kuepuka magonjwa kama matatizo ya afya ya akili, kisukari, mjamzito kujifungua mtoto njiti au mwenye ulemavu hata mimba kuharibika.
Rai hiyo imetolewa...
Posted on: March 13th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Patrick Sawala ametoa rai kwa Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Mtwara kugawa misaada kwa wanachi walioathiriwa na mvua kwa kuzingatia utaratibu mzuri.
Ametoa rai hiyo ...