Posted on: September 24th, 2024
Kaimu katibu Tawala Mkoa wa Mtwara Bi Nanjiva Nzunda amewataka wadau wa sekta ya maziwa kuyatumia maadhimisho kitaifa ya siku ya unywaji wa maziwa shuleni kutoa elimu na kuwahamasisha wazazi na walezi...
Posted on: September 16th, 2024
Mganga Mkuu Mkoa wa Mtwara Dkt. Benedicto Ngaiza mapema leo hii ameongoza shughuli ya mapokezi ya Madaktari bingwa 64 wa Dkt. Samia katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
Katika mapokezi ...
Posted on: September 13th, 2024
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Mhandisi Godfrey Msongwe Kasekenya tarehe jana 13/08/2024 amefanya ziara mkoani Mtwara kukagua miradi ya ujenzi ikiwemo Barabara ya Mnivata-Masasi km 160 ambayo ni sehemu ...