Posted on: October 4th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amewataka wadau wa Kilimo wakiwemo wakulima, watunza maghala na vyama vya ushirika kufanya maandalizi stahiki ya msimu wa korosho Ili kuepuka dosari ambazo...
Posted on: October 1st, 2024
Ikiwa ni siku ya pili ya ziara ya Mhe. Hussein Bashe, Waziri wa kilimo mkoani Mtwara, leo tarehe 01/10/2024 amekagua eneo la mradi wa ujenzi wa kongani ya viwanda vya kubangua korosho liililopo Maranj...
Posted on: September 23rd, 2024
Mtwara Yang’ara Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa Mkoani Ruvuma, Yapata Tuzo na Shilingi Milioni Moja.
Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililotamatika Septemba 23,2024 limeinga’ari...