Posted on: June 2nd, 2024
Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 Mkoani Mtwara leo Juni 2 zimebisha hodi katika Wilaya ya Tandahimba.
Ukiwa Wilayani hapa Mwenge wa Uhuru umezindua Miradi, umeweka mawe ya msingi pia umetembel...
Posted on: June 1st, 2024
Mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoani Mtwara Leo tarehe 1 Juni 2024 umeanza ziara yake katika Halmashauri ya Mji Nanyamba Wilayani Mtwara.
Mwenge wa Uhuru ukiwa katika Halmashauri hiyo umew...
Posted on: May 31st, 2024
Mbio za Mwenge wa Uhuru zimeingia siku ya pili Mkoani Mtwara ambapo Leo ni zamu ya Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara.
Jumla ya Miradi 6 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 1 imewekewa...