Posted on: May 12th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Halima Dendego amewaongoza wananchi wa Mkoa wa Mtwara kuupokea Mwenge wa uhuru huku akiahidi kuukimbiza umbali wa kilometa 871.7 mkoani Mtwara kwa amani na utulivu.
...
Posted on: May 3rd, 2017
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Halima Dendego kitabu cha Mpango Kabambe wa Mji wa Mtwara katika Hafla fupi ...
Posted on: April 29th, 2017
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Dkt.Leonard Akwilapo akikagua moja ya mabanda ya maonesho wakati wa kilele cha maazimisho ya wiki ya Elimu Kitaifa tukio lililoadh...