Mkoa wa Mtwara umepiga hatua kubwa katika maendeleo ya Elimu hadi January 2017 mkoa umeweza kuandikisha wanafunzi wa darasa la kwanza kwa asilimia 144, aidha utekelezaji wa maagizo mbalimbali ya kitaifa umekuwa ukitekelezwa kwa kasi kubwa. Moja ya maagizo hayo ni pamoja na agizo la utengenezaji wa madawati ambapo awali kulikuwa na Upungufu wa madawati 18,528, yaliyotengenezwa 24,113 (130%) na kuwa na ziada ya madawati 5,5,85. Maelezo zaidi Bonyeza HAPA
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.