Viongozi wa Taasisi mbalimbali mkoani Mtwara leo tarehe 14 Mei 2025 wamemuhakikishia Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Patrick Sawala kuwa Taasisi zao zipo tayari kuupokea na kuukimbiza Mwenge wa Uhuru 2025.
Mwenge wa Uhuru 2025 utapokelewa siku ya Jumamosi tarehe 17 Mei 2025 katika kijiji cha Lemusule wilayani Nanyumbu ukitokea mkoa wa Ruvuma kisha kukimbizwa katika Halmashauri zote 9 mpaka tarehe 25 Mei 2025 kabla ya kukabidhiwa mkoa wa Lindi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.