Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Andrey Avetisyan leo tarehe 10 Septemba 2025 amehitimisha ziara yake ya siku tatu mkoani Mtwara kwa kutembelea mji mkongwe wa Mikindani (Old Boma) kuona na kujifunza historia ya kabila la wamakonde.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.