• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Elimu


Malengo

Kurahisisha utoaji wa huduma za maendeleo ya elimu ikiwa ni pamoja na kusimamia mitihani ya Elimu ya Awali, Msingi, Watu Wazima na isiyo rasmi na shule za Sekondari.


Kitengo hiki kinafanya shughuli zifuatazo:-

  1. Kuratibu usimamizi wa Shule za Awali, Msingi, Sekondari na Elimu ya Watu Wazima na Rasmi;
  2. Kuratibu upangaji wa Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari Mkoani;
  3. Kuratibu utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi ndani ya Mkoa na kushauri ipasavyo;
  4. Kusimamia mitihani ya Msingi, Sekondari na vyuo vya ualimu katika Mkoa;
  5. Kuratibu ukusanyaji, uchambuzi, kukusanya, kutafsiri na kusambaza takwimu za Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi ndani ya Mkoa;
  6. Kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa taarifa za ukaguzi;
  7. Kuzishauri Halmashauri kuhusu utekelezaji wa Sera ya Utamaduni na Michezo; na
  8. Kuratibu shughuli zinazohusiana na michezo katika kanda.

Sehemu hiyo inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye pia ni Afisa Elimu wa Mkoa. Ndg. John S. Lupenza.


Assessing the role of Village Community Banks in Social Empowerment of Women within households in rural communities of Mtwara District, Tanzania Click HERE

DETERMINANTS OF COMMUNITY PARTICIPATION IN PLANNING HIV AND AIDS INTERVENTIONS UNDER NATIONAL MULTISECTORAL STRATEGIC FRAMEWORK IN MTWARA REGION, TANZANIA Click Here

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU KARIBU MTWARA

    May 17, 2025
  • JESHI LA POLISI TANZANIA YATUPIA JICHO MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA MTWARA

    May 20, 2025
  • MWENGE WA UHURU MASASI

    May 18, 2025
  • NANYUMBU WAANZISHA BIO ZA MWENGE MTWARA

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.