Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza Johari leo tarehe 21 Agosti 2025 amefika mkoani Mtwara kwa ziara ya mafunzo kwa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Mhe. Johari ameeleza kuwa ni vema TPDC wakaelimishwa sheria mbalimbali zitakazowasaidia na kuwangoza katika utekelezaji wa miradi ikiwemo sheria za manunuzi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.