• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, MIKOKO 6,000 YAPANDWA MTWARA.

Posted on: May 31st, 2025

Wakazi wa mkoa wa Mtwara wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Mhe. Abdallah Mwaipaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa leo tarehe 31 Mei 2025 wamepanda miti ya mikoko 6,000 pamoja na kufanya usafi wa mazingira katika pwani ya Miseti-Chuno ikiwa ni kampeni ya utunzaji wa mazingira kuelekea siku ya mazingira duniani.

Akizindua zoezi hilo la usafi wa mazingira na kupanda miti lililotanguliwa na mazoezi ya kukimbia (jogging) Mhe. Mwaipaya amewataka wananchi kutunza mazingira siku zote huku akitaka utaratibu kwa wananchi kufanya jogging na usafi wa mazingira kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi urejeshwe.

“Tukiwa na mazingira ambayo si safi, nyasi kutuama katika mazingira tunakaribisha mazalia ya mbu anaesababisha ugonjwa hatari wa Malaria” Alieleza Mhe. Mwaipaya.

Aidha, DC Mwaipaya amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani kuwapa vifaa vya vya usafi kikundi cha usafi wa mazingira kiitwacho Miseti Women Group ili waweze kufanya kazi vema.

Kilele cha maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani kitaifa yatafanyika tarehe 05 Juni 2025 jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.

Kimataifa maadhimisho haya yatafanyika nchini India katika mji wa New Delhi. Kaulimbiu inayoongoza maadhimisho haya ni “Beat Plastic Pollution”. Kaulimbiu hii inahimiza jamii kuepuka uchafuzi wa mazingira utokanao na plastiki.

Tanzania imepiga hatua katika kudhibiti taka za plastiki baada ya kupiga marufuku uzalishaji, uingizaji, usambazaji na matumizi ya mifuko ya plastiki kuanzia Juni, 2019, hatua iliyosaidia kupunguza uchafuzi wa mazingira.


Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SAWALA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI

    February 02, 2026
  • MSIMU WA 4 WA MADAKTARI WA SAMIA; MTWARA YAPEWA MADAKTARI BINGWA 54

    September 15, 2025
  • CAG ZIARANI MTWARA; AIPONGEZA OFISI YA MKUU WA MKOA KWA KUPATA HATI SAFI

    September 15, 2025
  • BALOZI WA URUSI AVUTIWA NA UTALII MTWARA

    September 10, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.

  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AERO88
  • YAMITOTO
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • YAMITOTO
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • DORA77
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • situs toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • toto slot
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • slot gacor
  • toto
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AERO88
  • YAMITOTO
  • DORA77
  • DORA77
  • DORA77
  • YAMITOTO
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • AERO88
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Toto Slot
  • KOI200
  • Slot Gacor
  • KOI200
  • DORA77
  • Slot Gacor
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • situs toto
  • Situs Toto Slot
  • AXL777
  • toto slot
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • KOI200
  • slot gacor
  • toto
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • slot gacor
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88