Nchi ya Marekani kupitia Ubalozi wake nchini Tanzania imeonesha kuvutiwa na uwekezaji mkoani Mtwara hatua itakayopelekea kuchochea ukuaji wa uchumi
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz yupo ziarani Mtwara ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Patrick Sawala ili kufahamu sekta ambazo raia hao wa Marekani wanazoweza kuwekeza.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.