• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Umeme Tayari mkombozi wa Nishati

Posted on: September 27th, 2018

Kifaa cha Umeme Tayari (UMETA)


Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Medard Kalemani amewataka watanzania  kuchangumkia fursa ya kuunganishiwa umeme kwa kutumia kifaa kinachojulikana kama Umeme Tayari (UMETA). Amesema kifaa hicho kinamuepusha mtumiaji na gharama za kufanya ‘wiring’ na hivyo kupunguza gharama za kuingiza umeme kwenye nyumba.

Waziri ameyasema hayo jana katika maeneo tofauti alipokuwa katika ziara yake ya siku mbili mkoani Mtwara.

“Serikali imeamua kuwapungumzia gharama wananchi kwani ukishaweka hicho chombo hulazimiki tena kufanya ‘wiring’ ...Kwa vile hicho kifaa kinafaa kwa matumizi yote isipokuwa viwanda tunawashauri wnanchi wavitumie. Pia tunashauri vifaa hivi vitumike kwenye taasisi za Umma kama ofisi za vijiji vituo vya afya, vituo vya polisi, zahanati na maeneo mengine ambayo kimsingi si lazima sana ufanye wiring.” Amesema Waziri.

Amesisitiza kwamba serikali imewataka wakandarasi wahakikishe wanavitoa bure kwa wateja wa kwanza mia moja hadi mia mbili hamsini. Baada ya hapo vinakuwa vinauzwa kwa bei ya serikali ambayo ni shilingi 36,000.

kwa kuanzia Mheshimiwa waziri amegawa vifaa 250 kwa kila jimbo alilotembelea mkoani hapa ikiwemo Lulindi, Nanyamba na Newala.

Pamoja na punguza hilo amesema serikali bado inaendelea na punguza la kuingiza umeme kupitia mradi wa REA ambapo gharama yake ni shilingi elfu 27 tu.


Video yake hii HAPA

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SAWALA AAGIZA VYAMA VYA USHIRIKA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA WAKULIMA.

    June 24, 2025
  • MKURUGENZI MPYA NANYAMBA NA DAS MPYA MTWARA WATAKIWA KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO

    June 23, 2025
  • MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUPUNGUZA UTEGEMEZI KWA WAFADHILI.

    June 28, 2025
  • MAREKANI KUTUMIA BANDARI YA MTWARA KUSAFIRISHA BIDHAA

    June 30, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.