Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara Dkt. Jilly Elibariki Maleko akipokea Taarifa ya makabidhiano ya Ofisi kutoka kwa aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa Alfred Luanda leo Agosti 13, 2018. Zoezi limefanyika ofisini kwa Katibu Tawala Mkoa na kushuhudiwa na Wakuu wa Idara