Thursday 26th, December 2024
@Shule ya Msingi Mitengo
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Ahmed atakabidhi vifaa vya TEHAMA kwa ajili ya Mafunzo kwa walimu (MEWAKA) katika shule ya Msingi Mitengo Jumatatu tar 19 Feb 2024 Saa moja kamili Asubuhi.
Nyote Mnakaribishwa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.