Thursday 26th, December 2024
@Newala
Maazimisho ya SIku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yatafanyika kimkoa wilayani Newala. Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa. Wananchi wote mnakaribishwa
Wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara wakishiriki maandamano wakati wa kilele cha maazimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani (mei Mosi)katika vinwja wa Mashujaa vilivyoko Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mwaka 2017.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.