Monday 16th, September 2024
@MTWARA MC, MTWARA DC, NANYAMBA TC
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara atakagua miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza kero kutoka kwa wananchi katika maeneo yafuatayo;
1. Mtwara MC
Naliendele: Ujenzi wa madarasa 4 na Matundu 12 katika shule ya Msingi Naliendele.
Likombe: Ujenzi wa Nyumba ya walimu 2 katika 1 shule ya sekondari Likombe
Ujenzi wa Barabara kiwango cha Lami kata ya Likombe Km 1
Majengo: Ujenzi wa Kisima cha kuvuna maji ya mvua kata ya majengo (TASAF) na kuongea na kusikiliza kero za wananchi.
2. Mtwara DC
Mustafa Sabodo: Kukagua ujenzi wa bweni la wanafunzi wasichana kidato cha tano.
Mkunwa: Kukagua Mradi wa kisima cha kuvuna maji ya mvua (TASAF) Zahanati ya Mkunwa.
Kukagua Mradi wa kisima cha kuvuna maji ya mvua (TASAF) Shule ya Msingi Mkunwa.
Ujenzi wa nyumba ya walimu 2 katika 1 shule ya Sekondari Mkunwa
kuongea na kusikiliza kero za wananchi katika shule ya sekondari Mkunwa.
3. Nanyamba TC
Namtumbuka: Ujenzi wa ya watumishi 2 katika 1 shule ya sekondari Namtumbuka - kata ya Namtumbuka
Mnyawi: Mradi wa TASAF - Barabara za jamii - Kata ya Milangominne
Kata ya Milangominne: Kuongea na kusikiliza kero za wananchi.
Namkuku: Ujenzi wa vyumba 2 vya mfano vya elimu ya awali shule ya Msingi Namkuku - kata ya Nanyamba.
Nanyamba B: Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa vya elimu ya awali shule ya Msingi Nanyamba B - Kata ya Nanyamba
Njengwa: Mradi wa Maji Njengwa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.