Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Patrick Sawala amewaomba wazee wa Mkoa wa Mtwara kuombea na kuhamasisha amani katika mkoa wa Mtwara na nchi ya Tanzania. Kanali Sawala ameyasema hayo mapema leo tarehe 10 Septemba alipokutana na kufanya nao mazungumzo.
“Tunathamini mawazo yenu wazee ndio maana Ofisi ya Mkoa huwa inawashirikisha katika mambo mbalimbali. Kinywa cha mzee ni baraka hivyo niwaombe muendelee kuuombea mkoa wetu uzidi kuwa na amani wakati wote.” Alieleza Kanali Sawala

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.