TANZIA.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kanali Patrick Kenan Sawala kwa niaba ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa kwa kuondokewa kwa aliyekua Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Prof. Nurdin Mangochi aliyefariki leo hii Juni 16, 2024 jijini Dar es salaam.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa inatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, wanamtwara na wote walioguswa na Msiba huu mzito.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.