• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

MIRADI YETU INAKIDHI VIGEZO VYA UBORA - KANALI SAWALA

Posted on: June 11th, 2025

Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala Leo juni 11, 2025 ametembelea na kukagua miradi ya maendeleo ya sekta ya Elimu Katika halmashauri ya wilaya Masasi , Nanyumbu na Mji Masasi.

Siku ya pili ya ziara yake Katika halmashauri ya wilaya Masasi, amekagua mradi wa shule ya msingi ya Mkondo Mmoja katika kijiji cha Mkwaya Mradi uliotekelezwa Kwa gharama milioni 334.6.

Akizungumza na wakazi wa kijiji hicho mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule hiyo Kanali Sawala amewaeleza Wananchi kuwa serikali imedhamiria kuboresha mazingira ya utoaji elimu nchini Ili kuhakikisha idadi kubwa ya Watoto wanapata nafasi ya kusoma

"Ndugu wananchi mmekua mashahidi jinsi serikali yenu inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inavyowajali, mbele yenu huu ndio ushuhuda, Sasa Miundombinu yote Iko tayari pelekeni watoto shuleni, pili hakikisheni wanapata chakula bila kusahau kuzingatia malezi bora yanayoendana na mila na desturi za mtanzania" alisema Kanali Sawala

Sambamba na mradi wa ujenzi wa shule ya msingi Mkondo Mmoja Mhe. Kanali Sawala amekagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Mnavira ,shule ya sekondari Amali Mbuyuni, shule mpya ya ufundi Masasi shule ya sekondari Matawale pamoja na shule ya sekondari Kilimanihewa yenye thamani ya zaidi ya billion 4.1

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • "JUNI 30, 2025 TUTAKUWA TUMEKAMILISHA MIRADI YOTE YA MAENDELEO" - KANALI SAWALA

    June 13, 2025
  • MIRADI YETU INAKIDHI VIGEZO VYA UBORA - KANALI SAWALA

    June 11, 2025
  • VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA MTWARA KUBORESHA ELIMU

    June 09, 2025
  • ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA SEKTA YA ELIMU

    June 10, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.