• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

Mpango Kabambe wa Mji wa Mtwara wapongezwa Bungeni.

Posted on: May 28th, 2017

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Halima Dendego Kitabu cha Mpango Kabambe wa Mji wa Mtwara


Mbunge wa Mtwara Mjini Mheshimiwa Maftaha Nachuma amempongeza Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi kwa kuzindua Mpango Kabambe wa Mji wa Mtwara. akitoa pongezi hizo juzi Bungeni Nachuma ambaye ni Mbunge Kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema uzinduzi wa Mpango huo ndio suluhisho la migogoro ya ardhi katika maeneo yaliyoingizwa katika mpango huo.

Amesema hata maandiko matakatifu yanasisitiza kupongeza hivyo ni muda wa watanzania wote kupongeza hatua hiyo hasa ikizigatiwa kuwa mpango huo ni kwanza kuzinduliwa tangu serikali ya awali ya tano iingie madarakani.

Akizungumzia hatua hiyo ya kupongezwa Bungeni, Afisa Habari wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani Jamad Omari amesema ni suala la kushukuru pale jambo jema lililofanyika linapopongezwa na wadau wote wa maendeleo. Amesema lililobaki sasa ni kuhakikisha jitihada hizo zinasimamiwa kwa uhakika ili ili kulinda makusudi ya mpango.

Mpango Kabambe wa Mji wa Mtwara ulizinduliwa Mei 2, 2017. Mpango huo unajumuisha eneo lote la Manispaa ya Mtwara Mikindani na kata tisa za halmashauri ya Wilaya ya Mtwara.

Ili kutazama video ya tukio Bonyeza HAPA

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU KARIBU MTWARA

    May 17, 2025
  • JESHI LA POLISI TANZANIA YATUPIA JICHO MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA MTWARA

    May 20, 2025
  • MWENGE WA UHURU MASASI

    May 18, 2025
  • NANYUMBU WAANZISHA BIO ZA MWENGE MTWARA

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.