Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 31 Machi 2025 ametoa mkono wa Siku kuu za Eid na Pasaka ikiwa ni salamu za Upendo kwa wana Mtwara ambazo kwa naiba yake zimewasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Patrick Sawala.
Vituo vilivyofikiwa na salam hizo za Mhe. Rais ni pamoja na Kituo cha Shule maalum ya Masasi iliyopo Lukuledi, kituo maalumu cha kulelea watoto cha Pentekonste, kituo cha kanisa la Kiinjili la Kilutheri kilichopo Ufukoni na Mikindani Yatima foundation.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.