Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Patrick Sawala amegawa vitanda 20 kwa kikosi cha jeshi la polisi kilichopo Tangazo.
“Askari hawa na wamajeshi wengine muda mwingi wako kazini hawalali kuhakikisha mkoa wetu uko salama, kuna muda wanahitaji kupumzika ili wapate nguvu mpya vitanda hivi vitawasaidia.” Alieleza Kanali Sawala
Mkuu wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara, SACP. Issa Selemani amemshukuru Mkuu wa mkoa kwa msaada huo wa vitanda.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.