• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

TAKUKURU MTWARA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 77 MRADI SEKTA YA ELIMU.

Posted on: April 27th, 2024

TAKUKURU MTWARA YAOKOA ZAIDI YA MILIONI 77 MRADI SEKTA YA ELIMU.

Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Mtwara, Mashauri Elisante leo hii amezungumza na vyombo vya habari katika Ofisi ya TAKUKURU Mkoa wa Mtwara ambapo ameanza kwa kusema,

Katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Machi 2024, TAKUKURU Mtwara ilifanya ufuatiliaji utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa, Matundu matatu ya vyoo na ununuzi wa madawati 45 katika shule ya msingi Msinyasi iliyoko Wilaya ya Nanyumbu. Mradi huu ni wa thamani ya shilingi Milioni Sabini na saba mia moja elfu (77,100,000/=).

Katika ufuatiliaji huo amesema Mashauri, walibaini kuwa madawati yote 45 hayakukidhi viwango vya ubora vilivyokubaliwa katika mkataba, Milango na vitasa vilivyowekwa vilikua havina Ubora kama ilivyoainishwa katika mkataba. Baada ya kubaini mapungufu, walitoa ushauri wa kurekebisha mapungufu hayo na yote yalifanyiwa kazi hivyo kukidhi viwango vya ubora uliotakiwa.

Aprili 27, 2024

#TunaifunguaMtwara

#KaziIendelee


Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MTWARA KUPELEKA TIMU UMITASHUMTA 2025

    June 03, 2025
  • TAASISI YA SPORT DEVELOPMENT AID IMETOA VIFAA VYA MICHEZO KWA WANAFUNZI

    June 02, 2025
  • UNICEF KUSAIDIA WATOTO MTWARA

    June 02, 2025
  • MSIMU WA 3 WA MADAKTARI WA SAMIA; MTWARA YAPOKEA MADAKTARI BINGWA 63

    June 02, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.