Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti amemwapisha Mhe. Mariam Khatibu Chaurembo Mkuu wa Wilaya mpya wa Nanyumbu, Uapisho umefanyika leo tarehe 22 Juni 2021 kwenye Ukumbi wa Boma Mkoa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.