• Wasiliana Nasi |
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mtwara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Rasilimali watu
      • Elimu
      • Miundo Mbinu
      • Maji
    • Kitengo
      • Huduma za Kisheria
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Fedha na `Uhasibu
  • Wilaya
    • Mtwara
    • Newala
    • Tandahimba
    • Masasi
    • Nanyumbu
  • Halmashauri
    • MtwaraMC
    • MtwaraDC
    • Tandahimba
    • NewalaDC
    • MasasiDC
    • MasasiTC
    • NanyumbuDC
    • Newalatc
    • NanyambaTC
  • Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Utaratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Profile za Watumishi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Tukio
  • Ijuwe Mtwara

WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR ZIARANI MTWARA.

Posted on: March 22nd, 2024

Wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wamefanya ziara mkoani Mtwara ya kutembelea miradi ya gesi asilia kwa lengo la kujifunza.

Katika ziara hiyo ya siku Moja ambayo wametembelea kiwanda cha kuzalisha gesi Mnazibay pamoja na kiwanda cha kuchakata gesi Madimba.

Akiwakaribisha Mkoani Mtwara Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mwanahamis  Munkunda amesma kuwa mkoa wa mtwara na lindi unatumia umeme wa gesi asilia pamoja na matumizi ya nyumbani na viwandani.

Amesema uwepo wa gesi hiyo ni fursa kubwa ambayo watajifunza na wataiona.

"Zipo fursa nyingi za uwekezaji mkoani hapa  tunakaribisha wawekezaji wengi zaidi  mkoa huu ni kitovu cha uwekezaji naimani mtatembea na mtajione" amesema Munkunda.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mwanaasha Khamis Juma amesema kuwa wamefika mkoani hapa kujifunza katika sekta ya mafuta na gesi asilia .

"Tumekuja kujifunza kwenye miundombinu ya gesi asilia na sisi kwa sasa tunayo mamlaka inayosimamia gesi asilia tumefurahishwa na tumeona maeneo ya kuzalisha na kichakata gesi  sisi kama wawakilishi wa wananchi tunaenda kuishauri serikali ili sekta ya gesi iweze kuwa chanzo cha mapato"

Kwa upande wake Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Mkondo wa Juu Pura
Mussa Ryoba Itumbo (Mjioligia) amesema kuwa ziara hii Ina lengo la kubadilishana uzoefu na kujifunza zaidi.

"Tuna kiasi kingi Cha gesi asilia  bado kiko kwenye kina kirefu cha bahari ambapo serikali inafanya mazungumzo na wawekezaji wengine ili wake kuwekeza  ambapo kwasasa kuna zaidi ya futi za ujazo 47.13" amesema Itumbo

#TunaifunguaMtwara

#KaziIendelee


Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 January 23, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MWENGE WA UHURU KARIBU MTWARA

    May 17, 2025
  • JESHI LA POLISI TANZANIA YATUPIA JICHO MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA MTWARA

    May 20, 2025
  • MWENGE WA UHURU MASASI

    May 18, 2025
  • NANYUMBU WAANZISHA BIO ZA MWENGE MTWARA

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

"MIRADI YA GESI KUNUFAISHA WAKAZI" MHE. DKT. DOTO BITEKO
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • IKULU
  • UTUMISHI
  • e-GA
  • MAOMBI YA KUCHOMA CHANJO YA UVIKO-19
  • SALARY SLIP
  • NBS
  • TAMISEMI

Kurasa Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • WIZARA YA HABARI
  • TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo kwa Ramani

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara

    Anuani ya Posta: 544, MTWARA

    Simu: +255 23 2333014

    Mobile: +255 23 2333014

    Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti

Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.