Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) asubuhi hii ameweka jiwe la msingi katika jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara lililopo katika kijiji cha Mkunwa.
Jengo hilo linalojengwa na Wakala wa majengo Tanzania (TBA) limegharimu zaidi ya shilingi Bilioni 2.6 ambazo zimetumika hadi sasa na litasaidia kupanua wigo wa kutoa huduma za kiutwala kwa wananchi wa maeneo mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya hiyo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara
Anuani ya Posta: 544, MTWARA
Simu: +255 23 2333014
Mobile: +255 23 2333014
Barua Pepe: ras@mtwara.go.tz
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.