Enzkreis-Masasi Partinership e.V ni ushirikiano wa maendeleo kati ya wilaya za Masasi (Tanzania) na Enzkreis (Ujerumani). e.V ni kufupisho cha neno la kijerumani 'Verein' lenye maana ya shirika lisilo la kiserikali.
Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Moses Machali. ameapishwa leo huku akiahidi kuleta mabadiliko Chanya wilayani Nayumbu.
Haki Miliki © 2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara. Haki zote zimehifadhiwa.