Posted on: May 17th, 2025
Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 zimebisha hodi Mkoani Mtwara Leo Mei 17,2025 ambapo unatarajiwa kuzindua, kutembelea na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi yenye thamani ya zaidi Shilingi Bilioni 18.3
...
Posted on: May 15th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kwenye kuupokea Mwenge wa Uhuru Mei 17,2025.
Mwenge huo ambao utapokelewa Kijiji cha Lumesule Halmashauri ya Wilaya ...
Posted on: May 14th, 2025
Viongozi wa Taasisi mbalimbali mkoani Mtwara leo tarehe 14 Mei 2025 wamemuhakikishia Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Patrick Sawala kuwa Taasisi zao zipo tayari kuupokea na kuukimbiza Mwenge wa Uh...