Posted on: June 20th, 2018
Changamoto ya usafiri kwa Maafisa Tarafa wa Mkoa wa Mtwara imepata ufumbuzi baada ya Serikali ya Mkoa kuwanunulia pikipiki. Pikipiki hizo 20 ambazo zimegawiwa leo kwa walengwa zimegharimu shilingi mil...
Posted on: June 15th, 2018
Mwenge wa Uhuru 2018 umekamilisha mbio zake wilayani Newala. Jumla ya miradi 17 katika Halmashauri zote mbili imetembelewa ambapo miradi 10 ya Halmashauri ya Mji wa Newala ilikuwa na thamani ya shilin...
Posted on: June 14th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Newala Mheshimiwa Aziza Mangosongo ameagiza kukatwa mishahara wahandishi wa ujenzi wa Halmashauri ya Mji wa Newala kwa kosa la kushindwa kusimamia ipasavyo mradi wa ujenzi wa b...