Posted on: October 9th, 2019
Mwenge wa Uhuru mwaka 2019 umekamilisha mbio zake mkoani Mtwara huku miradi yote 69 iliyofikiwa ikiwa imekubaliwa. Katika miradi hiyo, miradi 11 iliwekewa mawe ya msingi, Miradi 12 imefunguliwa, mirad...
Posted on: October 2nd, 2019
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2019 Mzee Mkongea Ali amezitaka klabu za wapinga rushwa shuleni ziige mfano kutoka shule ya sekondari Ndanda. Amesema klabu nyingi walizokutana nazo katika ...
Posted on: September 30th, 2019
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Mzee Mkongea Ali akikagua bidhaa za wajasiliamali.
Halmashauri ya Mji wa Masasi imetoa mkopo wenye thamani ya shilingi 79,500,000. sawa na asilimia 101....