Posted on: February 15th, 2020
Mkoa wa Mtwara unatarajia kupanda miti isiyopungua milioni tano kwa kipindi cha mwaka 2020. Miti hiyo itapandwa kupitia watu binafsi, vikundi na taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za serikali....
Posted on: February 7th, 2020
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko katika hatua yamwisho ya ukamilishaji wa ujenzi wa soko la kisasa katika Manispaa ya MtwaraMikindani.
Picha na maelezo zaidi HAPA
...
Posted on: January 30th, 2020
Mkoa wa Mtwara Umepokea jumla ya vitabu 11,812 kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET). Vitabu hivyo vya kiada vimekabidhiwa jana Januari 29, 2019 kisha kusambazwa wilaya zote za Mkoa wa Mtwar...