Posted on: October 31st, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Glasius Gasper Byakanwa (Kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Evod mmanda mara baada ya kuwasili kwa mara ya kwanza katika Ofisi yake jana.
 ...
Posted on: October 27th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Gasper Byakanwa,
Jana Oktoba, 26 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko katika safu ya Makatibu Waku...
Posted on: October 9th, 2017
TAKWIMU za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zilizotolewa Februari, mwaka huu, zinaonyesha namna zao la korosho lilivyoliingizia taifa pato la dola milioni 346.6.
Pato hilo ni sawa na takriban sh. bilion...