Posted on: August 22nd, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Evod Mmanda akimuonesha Mhe. Waziri mazingira ya mpaka wa Kilambo ulioko mpakani mwa Tanznia na Msumbiji wilayani Mtwara.
Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Phili...
Posted on: August 16th, 2018
Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha akizungumza na Wakuu wa Shule zenye kidato cha sita mkoani Mtwara katika kikao kilichofanyika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Ufundi Mtwara Agosti 15, 201...
Posted on: August 16th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Evod Mmanda leo August 16, 2018 amezindua rasmi kampeni ya upimaji wa maambukizi ya UKIMWI kwa wananchi waishio Mkoani Mtwara.
Kampeni hiyo ambayo inasimamiwa na Taasi...