Posted on: November 22nd, 2018
Nyumba za watumishii wa Zahanati ya Imekuwa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara zilizojengwa na Taasisi ya Benjamini Mkapa.
Taasisi ya Benjamini Mkapa imejenga jumla ya nyumba 50 za watumishi w...
Posted on: November 17th, 2018
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Japhet Hasunga amesema malipo ya wakulima wa korosho yameanza leo na kwamba hatua hiyo imefikiwa baada ya uhakiki ambao umekamilika kwa vyama vya Msingi 35...
Posted on: November 5th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Gelasius Byakanwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Nigeria nchini Tanzania DKt. Sahabi Issa Gada ofisini kwake.
Dr. Gada aliyeambatana na Uongozi wa Ki...