Posted on: February 10th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Mhe. Abdallah Mwaipaya kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara leo tarehe 10 Februari 2025 ameongoza kikao cha wadau wa maendeleo kujadili namna ya kusaidia walioathiriwa na mvua...
Posted on: February 8th, 2025
Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Mtwara, Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Patrick Sawala ametembelea maeneo mbalimbali kuona athari zilizotokana na mvua hizo ili kuzipatia ufumbuzi.
...
Posted on: February 8th, 2025
Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Patrick Sawala leo tarehe 08 Februari 2025 amemkabidhi mkandarasi mradi wa ujenzi wa visima vitano vya umwagiliaji kwa mkoa wa Mtwara.
Makabidhiano hayo yame...